SUGUTI RAHA
Wednesday, October 26, 2011
Mapenzi na malezi mazuri kwa mtoto ni muhimu na yaweza kumsaidia kuwa na kuimarika vizuri kiafya.
Sunday, October 9, 2011
Mmoja wa wenyeji wa Suguti, Edrwad Mugeta akipata habari kwenye gazeti la Nipashe.
Kijiji cha Suguti na maeneo mengine ya Kanda ya Ziwa Victoria yamekuwa yakitumia mitumbwi kama hii kwa ajili ya shughuli za uvuvi wa samaki.
Mzee John Biseko Kasika, akijiandaa kufyeka majani ili kujengea kaburi la kijana wake marehemu Mohamed Biseko Kasika aliyekuwa maarufu kama Sheba Juma ambaye alifariki dunia kwenye ajali ya gari la wasanii wa kundi la Five Star. Machi 21 mwaka 2011.
Haya ni moja ya makazi ya baadhi ya walimu wa shule za msingi hapa nchini. Kwa mazingira kama haya kweli wanaweza kufanya kazi yao moyo?
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)