Thursday, August 25, 2011

Elimu ni ufunguo wa maisha na kwa msemo huu ndio maana wazazi na walezi wanaojua umuhimu wa elimu wamekuwa wakiwapeleka watoto wao shule ili wapate elimu. Pichani Mtoto Edda Kasika akiwa na mfuko wake wa madaftari akisubiri gari ili kwenda shuleni.


1 comment:

  1. Kila mzazi ama mlezi anayejua umuhimu wa elimu ni lazima ampeleke mtoto shule ili apate elimu.

    ReplyDelete