Thursday, August 25, 2011

Mjumbe wa Baraka Kuu la Umoja kutoka mkoa wa Mara ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa toka Wilaya Musoma Vijijini, Anthony Mutaka kwenye moja ya mikutano ya Jumuiya. Yeye alikuwa miongoni mwa wana CCM waliojitokeza kumvaa mbunge Nimrod Mkono kwenye jimbo la Musoma Vijijini mwaka 2010.


1 comment:

  1. Vijana wanapojitokeza kuwania nafasi mbalimbali
    za uongozi ni muhimu waungwe ili waweze kuonyesha uwezo wa kuongoza, kwani wao ni taifa lao na siyo taifa la kesho kama wengi wasemavyo.

    ReplyDelete