Friday, July 8, 2011

Hili ni jengo la vyumba vya madarasa la Chuo cha tiba cha KAM kilichopo Kimara-Mavurunza ambacho kinatarajia kupata wanafunzi 300 ifikapo Septemba mwaka huu. Kwa sasa kuna wanafunzi 80 ambao wanaendelea na masomo.

No comments:

Post a Comment